Magnus wa Anagni

Mchoro wa ukutani katika kanisa kuu la Anagni.

Magnus wa Anagni (Trani, mwishoni mwa karne ya 2 - Ceccano, Lazio, Italia, 19 Agosti 251) alikuwa askofu wa Trani[1] ambaye alikimbia mji huo kutokana na dhuluma ya kaisari Decius lakini, baada ya kuinjilisha eneo la kusini mwa Lazio ya leo, alifia dini yake [2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Agosti [3].

  1. Monks of Ramsgate. “Magnus of Anagni”. Book of Saints, 1921. CatholicSaints.Info. 15 November 2014
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/93374
  3. Martyrologium Romanum

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy